Jeremiah 50:37

37 aUpanga dhidi ya farasi na magari yake ya vita
pamoja na askari wake wote wa kigeni katika safu zake!
Wao watakuwa kama wanawake.
Upanga dhidi ya hazina zake!
Hizo zitatekwa nyara.
Copyright information for SwhNEN